#arusha

  1. iCode

    Eneo la Uwekezaji Rift Valley Manyara

    Habari zenu wanajamvi, Nina uhitaji eneo linalofaa kwa ajili ya uwekezaji wa hotel/camp ya kitalii katika eneo la bonde la ufa linaloangalia ziwa Manyara. Yaani ule ukingo wa bonde la Ufa Eneo liwe hekari tatu na zaidi. Kindly connect me.
Back
Top Bottom