Pamoja na Misaada kukatwa. ARV zipo za kutosha, watu waendelee kula mbichi kila kitu kitakaa sawa.
**Duniani huko wanapambania Artificial intelligence (AI) sisi huku tunatiana Moyo na ARV [za Msaada]
***Bora Mzee wa Buhigwe kaamua kujistaafia mapema .
Wakuu,
Asubuhi ya Jumamosi Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa aliweka pandiko kwenye account yake ya Insta iliweka lebo kwenye gazeti la Nipashe "SIO KWELI (MISINFORMATION)" na kuongeza maelezo kuwa; PUUZENI UPOTOSHAJI HUU WA TAARIFA ZA DAWA ZA KUFUBAZA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV). Dawa haziuzwi...
Wakuu,
Wizara ya Afya imewatoa wasiwasi Watanzania juu ya uvumi uliokuwa ukiendelea kuhusu uhaba wa ARV kutokana na maamuzi yaliyochukuliwa na Rais Trump hivi karibuni ya kusitisha misaada kwa siku 90 kupitia shirika lake la USAID.
Pia soma...
- Hizi ARV zimeanza kutolewa kwenye mwaka 2003 au 2004 hapa wenye kumbukumbu sahihi mtanirekebisha. kabla ya hapo hapakuwa na dawa za kufubaza.
- Ugonjwa huu uliogopesha sana kiasi ambacho jamii haikuwa tayari kuuzungumzia. kimya kikuu kilitanda bila shaka kila mmoja akiomba kwa mola wake...
Dawa za ARV zimekuwa na msaada mkubwa sana kuzuia maambukizi pale waathirika wanapokutana kimwili na ambao hawajaathirika.
Imefikia kipindi mtu anaweza kutembea peku na idadi kubwa lakini akipima kasalimika, mshukuru sana hizo ARV.
Baada ya misaada kusitishwa nchi za Afrika nyingi zipo katika...
Haya sasa tuendelee kukata viuno
The United States Secretary of State, Marco Rubio, has approved an “Emergency Humanitarian Waiver”, which will allow people to continue accessing HIV treatment funded by the US across 55 countries worldwide. More than 20 million people living with HIV...
Wakuu
Kwanza mtanisamehe.
Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu sisi weusi yanapokuja mambo yanayohitaji tuwe siriazi, tumekuwa sio kabisa.
- Mtu mweusi ana shida sana.
- Naungana na wanaosema weusi tuna IQ ya chini mno.
- Mweusi anaishi kwa LEO yake.
- Anadeal na yanayomsibu LEO.
- Hayo ya...
Mimi Hadi Sasa sikuelewa umuhumu wa kuleta ARV, ARV zisingekuwepo HIV Sasa isingekuwepo walio na maambukizi wangekuwa wameshakufa wote wakabaki wasio na maambukizi
badala yake idadi ya walionao imekuwa kubwa tunategeshea takwimu za watu ambao wanatumia dawa ipasavyo ili wasiambukize ona Sasa...
Utawala wa Rais Donald Trump umeamua kusitisha usambazaji wa dawa muhimu za kuokoa maisha kwa magonjwa ya VVU, malaria, na kifua kikuu, pamoja na vifaa vya matibabu kwa watoto wachanga, katika nchi zinazosaidiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).
Hatua hiyo ni sehemu ya...
Ila Africa tunatia huruma, inatia sana haira hadi leo baada ya kupewa misaada mingi miaka nenda rudi bado tunangoja msaada wa ARV na condom 😣😣.
Kampeni ya kuelimisha jamii juu ya afya mpaka mzungu alete hela na kuna wapigaji watajilipa posho za laki 2 kila siku, hotel za gharama, magari ya bei...
Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi.
Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko Kwa Malaya utaratibu ni huo wao wanakuwa na vipimo vyao mnapima kisha mnakulana.
Sasa kuna mtu mmoja...
Habari za jioni, ninaomba kufahamu,
Je, huduma ya CTC Clinic (ARV) inatolewaje Kwa diaspora wanaoishi na VVU?
Kwa mfano mtu anayeishi na VVU akitoka Tanzania kwenda kuishi/kusoma/matembezi nchi za nje like USA, Canada, Japan, China, Germany etc
Atatakiwa kufanya process gani ili aendelee...
Ziara ya kimkakati iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan nchini India, imezaa matunda katika sekta ya afya baada ya nchi hizo mbili kuingia makubaliano ya kuanzisha kiwanda cha dawa, huku dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi ARV ni miongoni mwa zitakazozalishwa.
Makubaliano hayo ya...
Kamati ya Bunge ya VVU/UKIMWI ya Uganda imepokea taarifa hiyo kutoka Mamlaka ya Taifa ya Dawa Nchini humo ambayo imekiri kufahamu Dawa za Kurefusha Maisha na Kunenepesha zimekuwa zikitumika kwa Wanyama na haikuchukua hatua zozote.
Mkaguzi Mwandamizi wa Dawa kutoka NDA, Amos Atumanya amesema...
Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?
Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI.
Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa...
Wasaalam wadogo kwa wakubwa😀😀
Natumai nyote wazima wa afya. Niende kwenye mada kama mnavyoona huu ni mwezi wa 6 sasa, na mjuavyo baridi imeingia mpaka DSM sasa.
Na kama mnavyojua miili yetu, baridi ikiingia akili na mwili hutafuta joto na hilo joto lenyewe, hupatikana sehemu za siri huko😋...
Hii ni ishara mbaya sana.
siku ya tano leo nakutana na makopo ya kubebea ARV kwenye haka kamtaa ninakoishi.
Yanatupwa tu yani hadi watoto wanayachezea kabisa.
leo ndio nimejua kuna kopo za vidonge 30, 90 hadi 100
Hii nchi kwa maeneo ya mjini kuna rate kubwa ya mambukizi ya UKIMWI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.