Habari za jioni, ninaomba kufahamu,
Je, huduma ya CTC Clinic (ARV) inatolewaje Kwa diaspora wanaoishi na VVU?
Kwa mfano mtu anayeishi na VVU akitoka Tanzania kwenda kuishi/kusoma/matembezi nchi za nje like USA, Canada, Japan, China, Germany etc
Atatakiwa kufanya process gani ili aendelee...