Sasa ARV's zinakwenda kuwa big deal, wachuuzi wadogo hawatazipata tena. Hofu yangu ni kwamba kwenye maghala ya dawa ya MSD watu wanaweza kujizolea na kuzificha ili wakatajirike siku za machoni.
Ulinzi uongezwe. JWTZ walinde maghala ya dawa kwenye kipindi hichi cha mpito, vijana wa SUMA JKT...
Kiwanda cha dawa Arusha kilianza kuzalisha ARV, kikapigwa zengwe na kashfa kikapatikana kinazalisha ARVs feki. Kikafungiwa. Sasa wakati huu Trump anatukatia msaada wa pesa za ARVs kwa miezi mitatu(Labda itaendelea) tunahitaji sana tungekuwa na uwezo wa kuzalisha ARVs humu ndani. Wlikifungulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.