Ni wanaodaiwa kuwa wanachama wa vikundi vya Kigaidi vya Islamic State na Al Shabaab ambavyo vimekuwa vikifanya mashambulizi katika jimbo la Cabo Delgado tangu mwaka 2017.
Nyusi amesema waliosamehewa ni wale waliojisalimisha kwa hiari yao baada ya vikosi vya Majeshi ya Msumbiji, Rwanda na...