Unguja. Askari wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU), Ramadhan Juma Hassan (24) ameuawa, huku mwenzake akijeruhiwa na kundi la watu wasiojulikana walipokuwa kwenye lindo katika sheli ya mafuta.
Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu, leo Februari 6, 2024, Kaimu Kamanda wa Polisi...