Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemshtaki mwanasiasa wa upinzani, Dkt Kizza Besigye, pamoja na mshirika wake, Hajj Obeid Lutale, kwa kumiliki silaha nchini Kenya, Ugiriki, na Uswisi.
Walipofikishwa mbele ya mahakama kuu ya kijeshi jijini Kampala, chini ya uenyekiti wa Brigedia Freeman Mugabe...
Rais wa Shirikisho la soka la Afrika (CAF), Patrice Motsepe yamemkuta makubwa nje ya uwanja ambayo yatamlazimu kuwepo Dar es Salaam.
Bosi huyo ambaye ni mmiliki wa klabu tajiri ya Mamelodi Sundowns amefunguliwa kesi nzito na kesho jumatatu itaanza kuunguruma Jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo...
Patricia Kaliati (57) Mwanasiasa wa ngazi ya juu wa Upinzani na Katibu Mkuu wa chama cha UTM, amekamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua Rais Lazarus Chakwera, huku Wanasiasa wengine wa upinzani wakidai kuwa mashtaka hayo yana msukumo wa Kisiasa.
Kaliati, alifikishwa...
Mtayarishaji Mkongwe wa Muziki wa HipHop na Rapa, Andre Young a.k.a Dr. Dre amefunguliwa kesi ya madai ya Fidia ya Dola Milioni 10 (takriban Tsh. Bilioni 27.2) akidaiwa kumfanyia Vitisho na Unyanyasaji aliyekuwa Mshauri na Msuluhishi wa Ndoa yake.
Dkt. Charles J. Sophy amedai mwaka 2018, Dre...
TABORA - MWALIMU Dotto Elias (29) wa Shule ya mchepuo wa Kiingeza ya Mtakatifu Doroth iliyopo maeneo ya kidatu Manispaa ya Tabora anayedaiwa kumnajisi mwanafunzi wa darasa la pili chooni amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Tabora.
Akisoma mashtaka hayo jana Agosti 15, 2024...
Mery James Numbi, ameshtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa kinyume na Kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (cap 329 Re 2022)
Mshtakiwa akiwa Mtendaji wa Kijiji cha Lupembe Wilayani Njombe aliomba na kupokea rushwa ya Tsh. 200,000 kutoka kwa Irine Justine ili...
Mery James Numbi, ameshtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa kinyume na Kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (cap 329 Re 2022)
Mshtakiwa akiwa Mtendaji wa Kijiji cha Lupembe Wilayani Njombe aliomba na kupokea rushwa ya Tsh. 200,000 kutoka kwa Irine Justine ili...
Machi 15, 2024 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 3/2024.
Kesi hii ni Jamhuri dhidi ya Bw. Masanja Igolola Afisa Manunuzi VETA, Ndorage pamoja na Denis Rwegalulila Mzabuni.
Walishtakiwa kwa kosa la Hongo katika Manunuzi ambapo...
Mnamo Februari 9, 2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Uyui, mbele ya Mh. Tausi Mongi, imefunguliwa kesi ya jinai (Criminal case No. 20240209000003354) Jamhuri dhidi ya GEORGE FICHA MANYAMA (Mwenyekiti wa Chama cha Wauza Mikaa - UWAMUKU - Tabora). Kesi imefunguliwa na waendesha Mashitaka wa...
MAREKANI: Rapa Mkongwe na Mfanyabiashara, Curtis Jackson a.k.a 50 Cent ameshtakiwa na Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Power 106, Bryhana Monegain, anayedai jeraha alilopata baada ya kupigwa na Kipaza Sauti limeathiri mwonekano wake.
Ingawa tukio hilo linalodaiwa kutoka kwa bahati mbaya Agosti...
KENYA: Siku chache baada ya kushtakiwa kwa Makosa ya Ugaidi, Mchungaji Paul Nthenge Mackenzie, mke wake pamoja na Wasaidizi wake 94 wameshtakiwa kwa mauaji ya kutokusudia ya Watu zaidi ya 400 anaodaiwa kuwataka Wafunge kula hadi wafe ili wakutane na Yesu.
Hatua hizo zinafuatia Uchunguzi...
NIGERIA: Jeshi la Polisi nchini humo limeanza uchunguzi dhidi ya Nyota wa #AfroBeats, Davido ambaye anatuhumiwa kumnyanyasa Kihisia na Kumtishia maisha Mwimbaji #TiwaSavage
Kwa mujibu wa taarifa, inadaiwa Mastaa hao walianza kukosa maelewano kati yao Desemba 2023 baada ya Tiwa Savage kuweka...
Ousman Sonko ambaye aliwahi kuhudumu katika Serikali ya Rais Yahya Jammeh, anatuhumiwa kufanya Ubakaji dhidi ya Raia, Kuagiza Watu Wauawe huku wengine Wakitekwa na Kuteswa kati ya mwaka 2000 hadi 2016.
Kwa mujibu wa 'TRIAL International', Waziri huyo anakuwa Afisa wa ngazi ya juu zaidi kutoka...
Rais wa zamani wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma ameshtakiwa kwa makosa manne ya uhaini kuhusiana na jaribio la mapinduzi.
Novemba mwaka jana, watu wenye silaha walivamia ghala la kijeshi na magereza kadhaa huko Freetown, na kuwaachilia karibu wafungwa 2,000.
Amekana kuhusika na shambulio hilo...
Mwanamuziki Jermaine Jackson ambaye ni ndugu wa Nyota wa Muziki wa Pop, Marehemu Michael Jackson amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji na Ukatili wa Kingono dhidi ya Rita Butler Barrett aliyedai alibakwa na kutakiwa kukaa kimya ili kulinda heshima ya Mwanamuziki huyo.
Nyaraka za Mashtaka...
tua hiyo inakuja wiki 3 tangu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Ali Bongo kupinduliwa Kijeshi muda mfupi baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza kushinda Urais kwa muhula mwingine
Noureddin Bongo Valentin ambaye ni Mtoto mkubwa wa Ali Bongo na washirika wao wakiwemo Msemaji wa Rais na waliokuwa...
Ni Mfanyabiashara Simon Masumbuko Bulenganija aliyefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, akikabiliwa na mashtaka 3 ambayo ni Kughushi, Kutakatisha Fedha Haramu na Kuisababishia Serikali Hasara ya Tsh. 14,088,983,873.
Katika Shtaka la Kughushi, Oktoba 1, 20211 Simon anadaiwa...
Eliud Jones Kijalo aliyekuwa Mhasibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Utalii ambaye amefunguliwa mashtaka hayo pamoja na mengine ya Kughushi, Matumizi Mabaya ya Mamlaka, Ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha ulioisababishia hasara ya Tsh. Bilioni 4.03.
Mahakama imeelezwa kuwa kati ya Julai Mosi, 2016 na Julai...
Michael Macharia Njiri maarufu kwa jina la Dj Brownskin ameshtakiwa kwa kusaidia kujiua kinyume na kifungu cha 225 (b) cha kanuni ya adhabu.
Inadaiwa kuwa tarehe 29 Julai 2022, eneo la Kariobangi South, kata ya Buruburu, alitoa usaidizi kwa Sharon Njeri Mwangi ili ajiue.
Kwa kosa la pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.