IPO wazi hawa jamaa WA Asia (china , south Korea na,japan) Europe na america wamebadilisha maisha ya hii planet earth kweny angle ya science, mathematics, sports n.k isingekua wao Bado tungekua tunaishi maporini.
Kama mzungu na muasia angelala Leo ungekuta hakuna simu,hakuna Tv,hakuna...