Kufuatia tukio la wa wasiojulikana kummyakua mtoto wa miaka miwili na nusu mwenye ualbino aitwaye Asiimwe Novath, na kutokomea naye, baada ya kumkaba koo mama yake anayefahamika kwa jina la Kebyera Richard, mkazi wa Kijiji cha Bulamula, Kitongoji cha Mbale, Kata na Tarafa ya Kamachumu wilayani...