Habari wanaJF,
Kutokana na changamoto za maisha .
Mwanadamu ana-adapt mazingira ndio huzaa hulka yaani tabia.
FURAHA NA UTULIVU; Hii ndio hisia za asili za Mwanadamu.
Ndio maana ukiwa na furaha unajisikia raha sana.
Ndio energy halisi
.
Hisia zingine kama
Hofu ,hasira na chuki n.k hizi...