Wakati wimbi la mikopo ya kausha damu likiendelea kutikisa nchini, wajasiriamali wilayani Serengeti mkoani Mara wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo nafuu ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri.
Hayo yamesema na Mwenyekiti Wa UVCCM Mkoa Wa Mara, Mary Joseph wakati akizungumza na...
Sekta ya madini imezalisha ajira 19,874 kutoka kwenye Kampuni za uchimbaji ambapo kati ya hizo 19,371 ni Watanzania sawa na asilimia 97.5 na 503 ni wageni sawa asilimia 2.5 ya ajira zote zilizozalishwa.
Vilevile, Jumla ya bidhaa zenye thamani ya Dola za Marekani (USD) 3,780,161,183.28 ziliuzwa...
Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa sasa Tanzania imeondoa njaa kwa asilimia 100, akifafanua kuwa kilichobaki ni kuondoa kwa mtu mmojammoja.
Akizungumzia namna Tanzania inavyotekeleza Mpango wa Maendeleo Endelevu (SDGs) Rais Samia amesema nchi inajitosheleza chakula chake na zilizobaki ni...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti tatu muhimu zinazobainisha mchango wa wanawake katika uchumi na nafasi za uongozi.
Akianza na ripoti...
Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) imesema kati ya asilimia 40 hadi 50 ya wanaume wanakabiliwa na tatizo la nguvu za kiume, huku wengi wakifika hospitalini hapo kutafuta huduma ya upandikizaji wa uume.
Mkurugenzi Mkuu wa BMH, Prof. Mabere Makubi, akizungumza leo Machi 4, 2025 jijini Dodoma...
Katika halmashauri nyingi nchini imetolewa mikopo ya asilimia kumi kwa makundi ya wanawake watu wenye ulemavu na vijana. Wapo baadhi ya watu wengine wakishirikiana na baadhi ya viongozi kutoa mikopo kwa watu wasio na sifa stahiki pamoja na uwepo wa udanganyifu. Je, waliopata mikopo hii...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wassira amesema uwepo wa demokrasia haupimwi kwa asilimia ya ushindi wa chama kinachopata bali inasimamiwa kwa watu kupiga kura kwa uhuru huku akisisitiza kushinda au kushindwa ni demokrasia pia.
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread...
Kama unajihusisha na kubeti mara kwa mara, kuna magonjwa na matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kukupata, hasa kutokana na msongo wa mawazo na athari za tabia hii. Baadhi ya magonjwa hayo ni:
1. Msongo wa Mawazo (Stress) na Wasiwasi (Anxiety)
Kubeti kunaweza kusababisha wasiwasi mkubwa kuhusu...
Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume.
Kwa mujibu huo wa The Kennel Club inayotambulika duniani kwa jukumu la kusimamia shughuli mbalimbali za mbwa zinasema...
Mkuu wa Mkoa huo, Daniel Chongolo amewataka Wakazi wa Wilaya ya Mbozi kuacha tabia ya kuwatumikisha Watoto katika kazi za shamba badala yake wawapeleke Shule ili wapate elimu itakakayowasaidia kujiandaa na ushindani wa soko la ajira.
RC Chongolo amejulishwa kuwa Wilaya hiyo ina wastani wa...
Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia.
Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na...
Waziri anayehusika na utumishi Simbachawene asema asilimia 40 ya wafanyakazi wa serikali ni mizigo
swali kwa nini hawaachishwi kazi? Wapishe wengine?
Serikali kwa nini inaendelea kuwakumbatia?
-------
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George...
Uzalishaji wa zao la Pamba umeongezeka kutoka tani 350,000 mwaka 2020 hadi tani 632,510 mwaka 2024 sawa na asilimia 63.25 ya lengo la kuzalisha tani 1,000,000 ifikapo mwaka 2025 kama ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM ilivyoelekeza.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi VICTORIA MWANZIVA amezindua zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa halmashauri ya Mtama ikiwa ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri na kutoa Hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni Mia tatu sitini, laki...
Ikulu ya Kinshasa DRC, Rais Felix Tsheked baada ya kushika kiti aliwahi kuwaalika Wachawi maarifu wote Nchini DRC kufika Ikulu na kusaidia kuongeza nguvu kuwakabili M23 muhula wake wa pili!
Wachawi hawa kwa pamoja waliahidi kushinda Vita na walisema wako pamoja na Rais Tsheked.
Usilolijua...
Mfano tu mtu anasema babu Ferguson aliyekaa man united miaka 25 na epl 13 ni Bora kuliko pep aliyekaa miaka 7 na epl 5
Pep uyu uyu kamfunga babu mechi mbili za UCL 2009, to 2011
Nb:sijajumlisha makombe ya ligi ya Spain akiwa na Barca pep na makombe ya ligi akiwa na Bayern ujeremani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.