Mimi ni kijana Mjasiriamali,miongoni mwa vijana wanaostahili kupata mikopo hii kwani Ninakidhi vigezo vyote.
Lengo la kutoa mikopo hii lilikuwa ni kutuwezesha sisi wajasiriamali kuinuka kiuchumi na kuinua mitaji yetu.
Changamoto ni kwamba tunaunda vikundi ,tunaandaa katiba na vielelezo vyote...
Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Beatrice Kimoleta amesema baada ya Serikali kutangaza kurejesha mikopo ya vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imefanya masuala mbalimbali kuboresha mikopo hiyo kwa kufanya marekebisho ya Sheria ya...
- SOKO LA BWILINGU NI FURSA KWA KILA MTU AELEZA MHE. MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chalinze kuwapeleka Maafisa Maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.