asilimia 100

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais samia: tumeondoa njaa kwa asilimia 100 kilichobaki ni mtu mmojammoja kuhakikisha halali njaa

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa sasa Tanzania imeondoa njaa kwa asilimia 100, akifafanua kuwa kilichobaki ni kuondoa kwa mtu mmojammoja. Akizungumzia namna Tanzania inavyotekeleza Mpango wa Maendeleo Endelevu (SDGs) Rais Samia amesema nchi inajitosheleza chakula chake na zilizobaki ni...
  2. Kituo cha Biashara Ubungo then asilimia 100 ya products ni imported tena kutoka China, inasikitisha mno

    Ni wajinga ndio wanaweza shangilia huu ujinga, haiwezekani kijengwe the so called kituo cha biashara na asilimia 100 ya products hapo ni kutoka nje na tunaona ni sawa kabisa tena tunashangilia na kushangilia kabisa kwamba sasa maisha yatakuwa rahisi sana. Ni sawa na Kariakoo pale na hivyo...
  3. LGE2024 Katavi: Asilimia 100 ya Wagombea wa CHADEMA Kata ya Itenka wamewekewa pingamizi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Masanja Musa Katambi akizunguza na Waandishi wa Habari, leo Novemba 12, 2024. Amezungumzia Kata ya Itenka iliyopo Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi. PIA SOMA - LGE2024 - Dodoma: CHADEMA wadai kuna figisu majina ya wagombea...
  4. C

    Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.

    Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
  5. Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100

    BUNGE LAPITISHA BAJETI WIZARA YA UJENZI KWA ASILIMIA 100 Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na...
  6. M

    Sheria ya goli ni kwamba ni lazima mpira uvuke mstari kwa asilimia 100

    Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki. Nje kwa milimita 1 Hilo dogo...
  7. Asilimia 100 hujifichia CCM kutenda maovu na haramu

    Kama hujagundua hili bado wewe hufikirii sawasawa. Watu wote hupenda kuwa CCM na kupigania kupata nafasi zaidi na zaidi kama sehemu salama ya kujifichia maovu na haramu. Hii inahusu viongozi wote kuanzia juu mpaka chini. Kuanzia mwenyekiti wa shina mpaka namba moja. Chunguza hilo bila kutumia...
  8. M

    Bandari ikiwa mikononi mwa wageni kwa asilimia 100, hatuwezi tena kudhibiti kinachoingia na kinachotoka kwa asilimia 100. Ni hatari kwa usalama wetu!

    Kwa jiografia ya nchi yetu ilivyo, bandari ndio mlango mkubwa wa nchi yetu wa kuingilia na kutoka. Mlango huu ukimkabidhi mgeni kwa miaka 100, hatuwezi tena kudhibiti kwa ukamilifu kitakachokuwa kinaingia na kitakachokuwa kinatoka. Hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi yetu. Silaha zinaweza...
  9. Mpaka sasa Shetani anaongoza kwa asilimia 100% dhidi ya mpinzani wake

    Nasema haya kwa dhati kabisa kutoka moyoni kuwa Shetani anaongoza kwa 100% dhidi ya mpinzani wake kulingana na mambo yaliyokatazwa na vitabu vitakatibfu kuzidi kupuuzwa na binadamu kila kukicha. Hivi sasa hakuna binadamu ambaye anafurahishwa na maandiko ya vitabu vitakatifu na unapojaribu...
  10. Asilimia 100 ya wrong number ninazopokea ni kutoka Mkoa wa Mara, kwanini?

    Wiki haipiti sijapokea simu kwenye moja ya namba yangu, ukiuliza mtu anasema yuko mara, kingine wanakua ving'ang'anizi yani ukimwambia mtu humjui analazimisha mfahamiane, na unakuta mtu amepiga hata mara tatu, unadhani ni mtu anaekufahamu labda anadharura. Why Mara?
  11. SoC02 Serikali iondoe usiri wa zoezi la SENSA ili ifanikishe kwa asilimia 100

    Hili ni andiko juu ya sensa na makazi KUHUSU kuwepo kwa uwazi wa zoezi lenyewe. Nimeamua kukumbushia hili maana tayari zimebakia siku 7 tu ili wananchi wapate kuhesabiwa. Zoezi hili Lina manufaa mengi Sana na linaigharimu serikali yetu mamilioni ya pesa. Hizo pesa ni kodi zetu na endapo zoezi...
  12. N

    Maneno ya Hemedi Kivuyo yametimia kwa 100%. Taasisi imeyavaa matatizo yake, Hersi ni mtu wa ovyo ovyo

    Hakuna kitu kilimuuma sope takadini kama uongozi wa simba ulipotoa statement ya kumkana na kauli yake ya kupiga marufuku mashabiki wa yanga kuingia mechi za kimataifa za simba ushajiuliza angetoa kauli hiyo akiwa yanga ingekuwaje? kwa uongozi huu wa Hersi na manara ni kama PWAGU NA PWAGUZI...
  13. U

    Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  14. Elon Musk ofa kuinunua Twitter kwa asilimia 100 kwa dola bilioni 41. 39

    Elon Musk ametoa ofa ya kuinunua kampuni ya Twitter kwa dola 54.20 kwa kila hisa. Hii ni ongezeko la asilimia 38 tangu tarehe 1st April Twitter alipotangaza amenunua asilimia 9. Elon mwanzoni mwa wiki hii alikataa maombi ya kujiunga na bodi ya Twitter. Wataalamu alitafsiri kukataa kwa ilo ombi...
  15. Gharama za vifurushi zimepanda kwa asilimia 100

    Hili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100. Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata...
  16. HESLB: Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100

    Bodi ya Mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) wamesema Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100 mwaka huu. Chanzo cha habari: Mwananchi. My take: Hivi hii number ni sahihi kuwa bodi ndio imetoa? Au mwananchi wamejichanganya kwenye kuandika number maana idadi hiyo ni sawa na idadi ya kozi moja kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…