asilimia 90

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Kafulila: Asilimia 90 ya kipato cha mwanamke hutumika kwa ajili ya familia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti tatu muhimu zinazobainisha mchango wa wanawake katika uchumi na nafasi za uongozi. Akianza na ripoti...
  2. Kingsmann

    Asilimia wengi wa watoto chini ya miaka 5 kwa sasa wanaumwa

    Hii ni kwa Dar, sijajua mikoa mingine hali ikoje. Dalili kuu ni: 1. Homa kali 2. Mafua 3. Kukohoa 4. Kuharisha 5. Kutapika Ukienda kliniki za watoto nyingi kwa sasa zimefurika haswa. Yani kama mwanao hajaumwa, basi tegemea muda wowote naye kitamkuta. Hizi dalili pia zinawakumba hadi watu...
  3. Caps Lock

    Asilimia kubwa ya wanawake kwenye baa kwa sasa wanajiuza, zamani ilikuwa tofauti

    Wakati nilipokuwa shuleni sekondari o-level enzi hizo pale Tanga Tech, japo ilikuwa ni bweni na ukali wa head master Mr Teti, mara kadhaa mimi na marafiki zangu tuliweza kutoroka na kutinga sehemu za starehe kama Raskazone Beach ama club LacasaChika kwa ajili ya kuburudika kimziki. Huko...
  4. Roving Journalist

    Lwamo: Zaidi ya Asilimia 90 ya watoa huduma migodini ni Watanzania

    Zaidi ya asilimia 90 ya huduma zinazotolewa kwenye migodi ya madini nchini zinatolewa na watanzania huku vijana wakiaswa kutunza afya zao na kuepuka makundi hatarishi ili kuzifikia fursa zilizopo kwenye migodi. Hayo yamesemwa leo Oktoba 7, 2024 na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini...
  5. Roving Journalist

    Ujenzi wa Daraja la Magufuli wafikia Asilimia 90

    Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Paschal Ambrose amemshukuru Waziri Innocent Bashungwa kwa kuendelea kutoa msukumo ili kazi mbalimbali zinazoendelea za ujenzi katika daraja hilo ziweze kukamilika na kumueleza kuwa hadi kufika mwisho wa mwezi Agosti wananchi wataruhusiwa kupita juu ya...
  6. African businesses

    Asilimia 90 ya Watanzania hatujaenda shule

    Habari zenu waungwana, binafsi leo nimeumia sana baada ya kugundua licha ya kuspend miaka mingi kuitafuta elimu kwenye hizi shule zetu za serikali, leo ndio nimegundua kumbe Mimi sikwenda shule bali niliudhuria kwenye hivi vituo vya kukuzia watoto vinavyomilikiwa na serikali Kwa ufupi ni kwamba...
  7. LIKUD

    USHUHUDA: Vision Board inaweza kufanya upate kila kunachokiweka, 90% niliyoyaandika mwaka huu yametimia

    Vision board ni nini? Vision board ni mkusanyiko wa picha na michoro inayo represent dreams zako au mipango yako. Kwa mfano una ndoto za kwenda kusoma Havard,basi utachukua picha ya Havard utachukua na picha yako utafanya Photoshop inayo depict picha yako ukiwa Havard au unaweza kutumia...
  8. NetMaster

    Asilimia 90 ya wahitimu vyuoni hawajawahi kusoma kitabu chochote cha elimu binafsi, ni professionals tu katika fani walizosomea ila hawajaelimika

    Hapa sisemei kwamba mtu ana phd / masters / degree ya udaktari, uhandisi, uhasibu, Sheria, masoko, IT. La Hasha !! Hizi taaluma ni kipengere kidogo kwenye elimu, mtu alieelimika huwa kajenga mazoea ya kusoma vitabu nje ya taaluma vyenye maarifa yanayogusia maisha, jamii, kustarabika, kuwa mtu...
  9. Mr Dudumizi

    Asilimia 90 ya watanzania tumeshagundua kwamba hawa viongozi wamehongwa kwa ajili ya bandari

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu,,, hapa nchini kwetu ukiwa mtu makini, mwenyekujitambua, mwenye uwezo wa kudhibiti mihemko, mwenye mawazo na akili iliyohuru bila kukontroliwa na mtu mungine ambae ataitumia akili yako kwa faida yake na familia yake huku akikuacha wewe ukidhalilika...
  10. benzemah

    Ujenzi Bwawa La Nyerere wafikia asilimia 90, uzalishaji kuanza mwezi Juni 2024

    WAZIRI wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa Ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) umefikia asimilia 90 huku shughuli ya kufunga mitambo ya kufua umeme pamoja na nyumba yake ikiwa imefikia asilimia 70 Akizungumza wakati akiongoza viongozi wa Baraza la Jumuiya ya...
  11. Cute Msangi

    Asilimia 90% ya wanawake na wanaume wanaoshabikia Simba na Yanga hawajui mpira

    Mashabiki wengi wa Soka la Tanzania especially kwa mashabiki wa Simba hawajui mpira. Wameijua Simba kipindi cha mafanikio ukiwauliza mwaka 2017,2016 nk, Simba ilikuwaje au Ina kikosi gani mtu hafahamu. Kuna shabiki mmoja Simba tumebishana sana hajui kama Azam ashawahi kuwa bingwa wa ligi...
  12. DodomaTZ

    Ujenzi wa barabara ya Ludewa - Kilosa yenye urefu wa Kilometa 24 umefikia Asilimia 90

    Musa Madirisha Kaswahili, Mhandisi Mwandamizi, Msimamizi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, TANROADS Morogoro anaelezea hatua iliyofikiwa katika Mradi wa Ludewa - Kilosa (Kilometa 24) Mkoani Morogoro umefika katika 90%. Amesema kazi inayoendelea kwa sasa ni kunyanyua tuta la barabara na kuweka...
  13. Hemedy Jr Junior

    Asilimia 90% ya wataalamu wetu wanajua kusoma na kuandika ila hawana Maarifa

    Quran... inasema tafuteni elimu hata kama iko mbali Nchini china.(chukua mawazo ya china. Na bible inasema (Watu wangu wanang"amia kwa kukosa maarifa . @projkishimba
  14. Mcanada

    Mnaowaita Pisi Kali huko Tanzania, Asilimia 96% Hawana Akili

    Habari wana jukwaa wa JF na heri ya sikukuu ya mapinduzi Nawasalimu nikitokea hapa Ontario Canada mtaa naoishi sitautaja kwasababu za kiusalama.. Leo kabla ya kuamka nikasema hebu nishiriki nanyi jambo moja ambalo kwa muda kidogo nimelifanyia utafiti nikabaini mambo kadhaa kwa hawa...
  15. BARD AI

    90% ya 'Antibiotic' zinatumika kutibu wanyama badala ya Chanjo Tanzania

    Serikali imetahadharisha matumizi mabaya ya dawa za antibiotiki ambazo zinasababisha usugu wa vimelea dhidi ya dawa, ikionya hatari ya kutokea madhara makubwa hasa kifo kwa watumiaji. Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Tumaini Nagu amesema jijini Dar es Salaam kuwa takwimu zinaonesha asilimia 92...
  16. Nyuki Mdogo

    Asilimia kubwa ya Watanzania wanatumia nguvu za giza katika Biashara, Ajira na Harakati za Maisha Kiujumla

    Kwenye siasa, uchawi 100% Biashara uchawi upo kwa 75% waliobaki hawajielewi wamuamini Mungu au waingie kwa sangoma😂😂😅😅 Kwenye Ajira uchawi unatumika kupandisha vyeo, kulinda vyeo na kurudisha kazini wadau waliotimuliwa. Mahakamani huko 90% na zaidi kuna mauza uza kibao ya ushirikina na umeua...
Back
Top Bottom