Poleni wana jukwaa na mihangaiko ya kutafuta chochote kitu maisha yasonge..
Sina mengi sana ila nina swali kwa wanawake leo hii, hivi ni kitu gani huwasababisha mchelewe location????
Mnaweza kuahidiana mkutane saa 10, ila cha ajabu anaweza kuja saa 12. Ukimuuliza kwanini kachelewa kuja, hana...