Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato upo Kilometa 10 kutoka katikati ya Jiji la Dodoma, ulianza Aprili 20, 2022 baada ya mkataba kusainiwa Septemba 2021.
Mhandisi wa Miradi wa TANROADS Dodoma, Colman Gaston anasema mradi huo umefadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na...