Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imeahirisha kesi inayowakabili washtakiwa tisa wa kesi ya mauaji ya Asimwe Novart, mtoto aliyekuwa na Ualbino ambaye aliuawa na baadhi ya viungo vyake kukutwa vimenyofolewa wilayani Muleba mkoani Kagera mwezi Mei mwaka huu.
Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba...
Kesi ya mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30,2024 na June 17,2024 mwili wake kukutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na kukatwa baadhi ya viungo vyake, imesogezwa mbele kupisha uchunguzi Mtuhumiwa wa kwanza Padri Elipidius Rwegoshora...
Washitakiwa tisa (9) wanaotuhumiwa kuhusuka na mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ualbino Marehemu Noela Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu mkazi wa kata ya kamachumu ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamefikishwa mbele ya jaji wa mahakamani kuu ya Tanzania kwa ajili ya...
Kesi namba 17740 ya mwaka 2024 ya mauaji ya mtoto aliyekuwa na Ualbino Noela Asimwe Novath inayowakabili washitakiwa tisa akiwemo padri Elipidius Rwegoshora na wenzake imetajwa tena leo tarehe 6 Septemba 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya Bukoba mkoani Kagera vyelelezo 37 na maelezo...
Washtakiwa tisa wa mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30,2024 na June 17,2024 na mwili wake kukutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na kukatwa baadhi ya viungo vyake, wamefikishwa Mahakamani tena leo August 23,2024 huku wakidai...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Bukoba imelikubali ombi la Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP)
la kuzuia kutumika kwa majina na taarifa za mashahidi katika kesi ya mauaji ya moto mwenye albino, Asimwe Novath.
Uamuzi huo wa Mahakama unatokana na maombi ya DPP kupitia maombi ya jinai namba 23143 ya...
RC MWASSA AWAITA WANANCHI KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA KITAIFA KUPINGA UKATILI DHIDI YA MAALBINO. WAZIRI NDEJEMBI KUONGOZA UZINDUZI HUO.
Ni leo Jumanne Julai 09, 2024 kwenye Viwanja vya Kamachumu wilayani Muleba.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajjat Fatma Mwassa leo anawakaribisha wananchi...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu Sativa, kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa pamoja na kuhakikisha unafanyika uchunguzi wa tukio lililomtokea Kijana huyo ambaye hivi karibuni alikiri kuwa...
Kila baada ya wiki Moja linaibuka jambo jipya sana Lina trend sana Kwa Tanzania Kwa mfono wiki iliyoisha yalikuwepo matukio mawili makubwa ambayo ni Mauaji wa Mtoto Asimwe na Mgomo wa Wafanya biashara Nchi nzima. Sasa wikii hii (01.07.2024) Hostest news Kwa Tanzania ni
1.Mchungaji peter Msigwa...
Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba limemsimamisha kutoa huduma za kichungaji Padri, Elipidius Rwegoshora kufuatia tuhuma zinazomkabili za kuhusika katika mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Asimwe Novart.
Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, Jovitus Mwijage ametangaza uamuzi huo kupitia gazeti la...
asimwe
askofu
askofu na mauaji ya albino
elipidius rwegoshora
huduma
kanisa katoliki bukoba
kutoa
mauji ya asimwe
mtoto albino kagera
padre
padre elipidius rwegoshora
uwajibikaji kanisa katoliki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.