Ni tukio la kusikitisha kule Kagera.
Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi?
Lini tutapata maneno ya faraja kutoka kwake ili mioyo yetu itulie?
Hatujamuona akiandika maandiko...
Watuhumiwa tisa wa mauaji ya mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ulemavu wa ngozi (ualbino) aliyeripotiwa kuibiwa nyumbani kwao Mei 30, 2024 na mwili wake kupatikana June 17, 2024 ukiwa umeondolewa baadhi ya viungo vyake, leo June 28, 2024 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba na...
Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika?
Yaani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera Chalamila yeye anaibuka na oparesheni ya waganga wa kienyeji Dar! Sasa Chalamila atawashughulikia...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema kuwa tayari Jeshi la Polisi limewakamata watu wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novath (2).
Mei 30, 2024 Asimwe anadaiwa alichukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera na juhudi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.