asimwe novath auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shahidi adai Padri Rwegoshora aliahidi kumpa V8 baba wa Mtoto Albino 'Asimwe'

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji ya mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath (2) umewasilisha maelezo ya ushahidi katika hatua ya awali, ukieleza utakuwa na mashahidi 52 na vielelezo 37. Katika maelezo hayo ya ushahidi, mmoja wa mashahidi ameeleza mbinu iliyotumiwa na washtakiwa kumpora mtoto...
  2. Ubaya ni ubaya lini Askofu Bagonza atatoa chapisho kumpinga yule kiongozi wa dini aliyehusishwa na tukio la mauaji ya mtoto Kagera

    Ni tukio la kusikitisha kule Kagera. Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi? Lini tutapata maneno ya faraja kutoka kwake ili mioyo yetu itulie? Hatujamuona akiandika maandiko...
  3. B

    Kagera: RC Mwassa awaita wananchi kwenye uzinduzi wa kampeni ya kitaifa kupinga ukatili dhidi ya maalbino. Waziri Ndejembi kuongoza uzinduzi huo

    RC MWASSA AWAITA WANANCHI KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA KITAIFA KUPINGA UKATILI DHIDI YA MAALBINO. WAZIRI NDEJEMBI KUONGOZA UZINDUZI HUO. Ni leo Jumanne Julai 09, 2024 kwenye Viwanja vya Kamachumu wilayani Muleba. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajjat Fatma Mwassa leo anawakaribisha wananchi...
  4. N

    Kagera: Watuhumiwa tisa wa mauaji ya Asimwe Novart wafikishwa mahakamani na kusomewa shtaka la kuua kwa kukusudia

    Watuhumiwa tisa wa mauaji ya mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ulemavu wa ngozi (ualbino) aliyeripotiwa kuibiwa nyumbani kwao Mei 30, 2024 na mwili wake kupatikana June 17, 2024 ukiwa umeondolewa baadhi ya viungo vyake, leo June 28, 2024 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba na...
  5. K

    Kifo cha Asimwe kinatuonesha adhabu ya kifo inafaa iendelee kuwepo. Tuitekeleze kwa namna hii...

    Mioyo ya nyama imeumizwa na kusikitishwa mno na kifo cha Binti mwenye ualbino Asimwe aliyeuawa kikatili na viungo vyake kunyofolewa na kila kona tunasikia maoni ya watu wakionesha kuumizwa sana. Kifo cha Asimwe kimetufundisha jambo moja kubwa ,kwamba bado Taifa lina uhitaji mkubwa wa adhabu ya...
  6. D

    Tovuti Rasmi ya Dayosisi ya Bukoba inathibitisha kwamba Elipidius Rwegoshora ni Padre wao

    Tangu jana Kuliporipotiwa Tukio la Paroko msaidizi kuhusika na Tukio la Kutekwa,Kuawa wka Binti Mrembo Asimwe(2) Kumekuwa na hisia tofauti juu ya wahusika hao Hususanai Mhusika wa Kwanza Ambaye ni abab yake pamoja na mtu aliyetajwa kwa jina la aElipidius Rwegoshora ambaye inadaiwa kuwa ni Paroko...
  7. Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

    Msemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi. Which is which?? Pia soma Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…