askari ajipiga risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Migori: Afisa Mkuu wa polisi ajipiga risasi wakati akimpa silaha mwenzake

    Afisa mkuu wa polisi aliye stationed katika Kituo cha Polisi cha Kegonga huko Migori alijipiga risasi kimakosa alipokuwa akimpa silaha mwenzake ndani ya kituo siku ya Jumatatu. Kulingana na ripoti ya polisi iliyopatikana na Citizen Digital, Koplo Caudence Nyangenya, ambaye alikuwa anasimamia...
Back
Top Bottom