Afisa mkuu wa polisi aliye stationed katika Kituo cha Polisi cha Kegonga huko Migori alijipiga risasi kimakosa alipokuwa akimpa silaha mwenzake ndani ya kituo siku ya Jumatatu.
Kulingana na ripoti ya polisi iliyopatikana na Citizen Digital, Koplo Caudence Nyangenya, ambaye alikuwa anasimamia...