Sanamu ya Askari bado tunayo licha ya ujenzi wa njia ya mwendokasi unaondelea Posta barabara ya Azikiwe
Maamuzi mazuri maendeleo yasifanye tukapoteza utambulisho wa Bongo Dar es salaam wengi wetu tumezaliwa tumeikuta, tumekuwa tukiona toka utotoni na tungependa iendelee kuwepo na kutunzwa.
Tunapenda kufafanua taharuki iliyozuka leo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Askari Monument ya Dar es Salaam.
Ni kwamba ujenzi unaoendelea katika Mradi BRT Awamu ya Tatu hautaondoa wala kugusa SANAMU YA ASKARI iliyopo makutano ya Mtaa wa Azikiwe na Samora.
Hata hivyo, kutokana na ufinyu wa...
Kuna taarifa nimeona mtandaoni kuwa Sanamu maarufu katika jiji la Dar es Salaam, Askari Monument imeondolewa katika eneo lake kwa lengo kupisha ujenzi wa Barabara za Mwendokasi. Kama ni kweli, natumai itarudishwa na si kuondolewa moja kwa moja maana ni alama muhimu za jiji.
UPDATE: TANROADS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.