12 March 2025
Kampala
Picha : rais Salva Kiir na makamu wa kwanza wa rais Dr. Rick Machar
Mkuu wa majeshi ya ulinzi wa Uganda jenerali Kainerugaba Muhoozi athibitisha askari wa vikosi maalum yaani makomando wa UPDF watua katika mji mkuu wa Juba South Sudan kufuatia tishio la kuzuka mapigano...