Kaya kumi na nane za eneo la Kisaki Kijiji cha Mbuyuni Minepa, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba zao vyakula pamoja na vitandea kazi kudaiwa kuchomwa moto na askari wa Hifadhi ya Jamii ya Iluma (WMA) kwa madai ya kuvamia eneo la hifadhi
Selous hifadhi ya pori tengefu au pori la akiba kwasasa ndilo pori linalotegemewa sana na TAWA.
Kama kawaida ya binadamu hakosi alternative pale anapozidiwa njaa au shida.
Vijana wanaingia kwenye hifadhi mbalimbali kutafuta chochote kitu ili wapate kujinasua aidha kwenye njaa au wajinasue...
Utata umeibuka baada ya familia ya mtoto, Ngatipa Parmao(17) anayedaiwa kuuawa kwa risasi na askari wa wanyamapori wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kudai kuna njama zimefanywa kuondoa risasi mwilini kwa mtoto huyo katika hospitali ya awali alikokimbizwa kwa matibabu.
Familia ya mtoto...
Kumekuwepo na ongezeko la mauaji ya raia yanayosababishwa na askari wa wanyamapori na wale wanaolinda hifadhi za taifa.
Hii siyo picha nzuri na imewafanya wananchi wanaoishi maeneo hayo kuishi kwa hofu kubwa wengine wakipata ulemavu wa maisha kwa sababu ya ukatili wa askari hawa.
Serikali...
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro amesema hadi sasa kuna askari 61 wamefukuzwa kazi baada ya kuthibitika kuwa wamekuwa wakiwatendea vibaya wananchi wanaoingia hifadhini
Amewataka watu wengine wenye ushahidi wa wananchi kutendewa vibaya na askari wa hifadhi wapeleke ushahidi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.