Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25.
Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Kaster Ngonyani amesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha...