Askari watatu wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) pamoja na mgambo wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Grace Mussa (4) katika Kijiji cha Mpanda Mlowoka wilayani Kaliua, mkoani Tabora.
Akizungumza na Mwananchi leo Desemba 2, 2024 Kamanda wa...