Urusi imekabidhi miili ya wanajeshi 252 wa Ukraine waliouawa katika vita vinavyoendelea kati ya nchi hizo, huku ikipokea miili ya wanajeshi 25 wa Urusi kwa makubaliano ya kubadilishana miili, kwa mujibu wa taarifa mbalimbali za vyombo vya habari.
Makabidhiano hayo yanadaiwa kufanyika siku ya...