askari wa usalama barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Dar: Askari wa Usalama Barabarani kagongwa na kupoteza maisha

    Habari Mbaya sana. Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani. Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje. Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara. Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe. Apumzike kwa amani.
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Askari wa usalama barabarani msiache kuwapiga vibao bodaboda na Bajaj. Hawa vijana wana vichwa vigumu

    Kama kila kosa la Bajaj na bodaboda ni sh. 10000 mkiwatoza effectively hata mabosi wao hesabu hawataziona. Mkiwapeleka Mahakamani watajazana huko na serikali itakuwa busy kwa vitu visivyo na msingi. Dawa ni vibao tu kwa hili kundi la vijana wa bodaboda na Bajaj. Makofi sometimes huweka akili...
  3. A

    RTO Mbeya asimamisha Basi la Shabiby kwa saa tatu kwa kosa la siku iliyopita

    Wakuu mambo vipi? Kwanza poleni kwa msiba wa kitaifa (janga la Kariakoo). Ishu yangu iko hivi, kuna ndugu yangu ni mfanyabiashara Dodoma. Kwa hiyo mara nyingi husafiri toka Dodoma-Tunduma na Tunduma- Dodoma kufuata bidhaa. Anasema juzi (kama sijakosea) alikuwa akitoka Tunduma kuelekea...
  4. A

    DOKEZO Baadhi ya Askari wa Usalama Barabarani kuweka Vijana wasio na mafunzo kukamata Bodaboda ni hatari

    Hii tabia ya Askari wa Barabarani especially Mkoa wa Dar es Salaam maeneo mengi likiwemo eneo la Kamata Kariakoo, Ilala Boma na maeneo mengineyo, kutafuta vijana machawa wa kukamata Bodaboda ambao wamevunja Sheria za Usalama Barabarani kama kutokuvaa kofia ngumu na mengineyo, sio nzuri na ipo...
  5. Tate Mkuu

    Je, ni halali kwa askari wa usalama barabarani kuwatoza wananchi faini ya 30,000/= kwa kutokuwa na sticker za nenda kwa usalama?

    Habari ndugu Wanajamii Forums. Nimeona nije kupata ufafanuzi kutoka kwa wataalam wa mambo ya usalama barabarani. Kwa ufupi nilikuwa na safari kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine huku nikitumia usafiri wangu binafsi. Kiukweli njia nzima changamoto zilikuwa ni nyingi kutoka kwa hawa askari wetu wa...
  6. TUMA TANZANIA 1

    Askari wa barabarani kagueni gari, kumbukeni hata mshahara mnaolipwa unatoka kwa hao hao wananchi

    Habari za wakati huu wakuu wangu, mimi nina kero yangu kuhusu hawa Askari wa usalama barabarani traffic kuchukua rushwa (kifurushi) badala ya kukagua gari. Kwahiyo madereva wanashughulika na kuwa na hela ya kulipia kifurushi badala ya kutengeneza gari gari bovu.
  7. Mkalukungone mwamba

    Mara: Abiria 16, Dereva na Kondakta wakamatwa kwa tuhuma za kumpiga Askari wa Usalama Barabarani

    Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio hilo lilitokea Septemba 18, 2024, saa 12 jioni katika mkoa wa Mara. Akizungumza kuhusu tukio hilo...
  8. BARD AI

    Ili Rushwa kwa Askari wa Usalama Barabarani iweze kuisha, Waanze kuadhibiwa mbele ya Vyombo vya Habari

    Rushwa kwa askari wa usalama barabarani ni tatizo kubwa ambalo linaweza kuwa na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwazi na uhakika katika utekelezaji wa adhabu. Kuna mambo kadhaa yanayoweza kuchangia rushwa kwa askari wa usalama barabarani: 1. Adhabu Zisizoeleweka: Kama adhabu...
  9. T

    KERO IGP tuondolee Askari wa Usalama Barabarani Tabata, wamekua kero na kusababisha Foleni kwa faida yao.

    Mimi kama mkazi wa Ukonga, naetumia barabarani ya Tabata naomba kutoa ombi kwa IGP ama mkuu wa usalama wa barabarani mkoa wa Dar es Salaam. Inajulikana kwamba asubuhi ni muda wa rush hours, watu wanawahi kwenda kwenye shughuli zao za kiuchumi na pia inajulikana setup ya barabara zetu asubuhi...
  10. BARD AI

    Serikali yapiga marufuku Askari wa Usalama Barabarani kutembea na Silaha za Moto ili kuepusha madhara kwa raia

    Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao ikiwemo kushambulia raia hata wasioweza kusababisha madhara. Uamuzi huo pia umechangiwa na kauli ya...
  11. Hakuna anayejali

    Askari wa usalama barabarani fuatilieni usalama wa abiria Noah za Mbinga - Litembo?

    Habari wanajukwaa. Leo nilikuwa nasafiri nilipofika stend nimeikuta Noah inapakia abiria. Ajabu ticket ina maelezo ya gari nyingine, lakini yenyewe plate namba nyingine. Tumetoka pale tupo 8 na ilipotoka stend ikapakia tena wawili kwenye buti, wengine wakasimama ndani na mwingine mbele kwa...
  12. G

    Nimemgombeza askari wa usalama barabarani, wenzake wameniomba msamaha

    Ni kituo cha mabasi cha mawasiliano. Wako maaskari wengi lango wa kuingilia, kila gari linaloingia linasimamishwa na kuchukua hela kwa konda. Bahati nzuri nikashuhudia askari wa kike akipokea hela, nikamfuata na kumweleza nichokiona, akanijibu vibaya. Nikatishia kuchukulia hatua zaidi lakini...
  13. Mwanongwa

    Mbeya: Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani acheni Rushwa, simamieni sheria

    Wananchi wanaotumia Barabara ya Mbeya - Chunya wamelitaka Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani, askari wake kuacha kuchukua rushwa na badala yake wasimamie sheria. Wananchi hao wamelalamikia kitendo cha mabasi ya Mbeya -Chunya kuzidisha abiria kinyume cha utaratibu. Mabasi yanayotoka...
  14. Don Moen

    Rais Samia amelitikisa Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani

    Rais Samia kuna wakati anafanya kazi kama simba mwenda pole, hana makeke wala mikwara lakini kuna wakati anakwarua kweli kweli. Alianza kwa kumwagiza Kinana kuwa awaambie tafiki wapungue barabarani. ................... Hivi karibuni tumlisikia mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Wambura akisema...
  15. kimsboy

    DOKEZO Hawa Trafiki wanakera sana, njaa zitawaua

    Hakuna kitu kinakera kama kila saa na kila siku unakamatwa na traffic hata kama huna kosa watakutafutia visababu. Hawa jamaa ni watu wa hovyo sana, ndo maana huishia kufa masikini, kinachowatesa ni njaa zao, wivu na roho mbaya dhidi ya wenye magari, kwani kuna mtu aliwatuma wafanye kazi za...
  16. Planett

    Utaratibu wa trafiki kunakili kosa pamoja na taarifa za dereva una lengo gani?

    Wakuu hbari, Juzi kati nilikua na safari ya kwenda mikoa ya kusini sasa kila askari akinisimamisha kama nikiwa na kosa naandikiwa risiti na kuna huu utaratibu nimeuona mpya WA KUNAKIRI KOSA PEMBENI KWENYE NOTEBOOK PAMOJA NA TAARIFA ZA DEREVA. Sijajua huu utaratibu mpya umewekwa kwa malengo...
  17. M

    IGP Sirro, toeni elimu kwa askari wa usalama barabarani; wanatuchelewesha kazini

    Wanabodi leo mara ya pili nimepatwa na shida ndiyo nikajua kuna tatizo. Nineamka saa 11 niwahi ofisini trafiki amekamata daladala yetu kisa dereva hakusimama kwenye zebra. Toka saa 12 hadi sasa hivi saa 1:30 tumekalishwa hapa wanamsubiria tajiri wa gari, vitu havieleweki kabisa. Nashindwa...
  18. Chendembe

    Kero za askari wa usalama barabarani: Utaratibu wa kutoza adhabu barabarani uangaliwe upya

    Nitangulize kupongeza wote waliohusika kubadili utaratibu wa kutoza adhabu za vyombo vya usafiri barabarani badala ya ule wa awali ambapo mahakama pekee ndio ilikuwa inatoza. Hakika, walikuwa na nia njema ya kuondoa usimamaji wa vyombo vya usafiri kusubiri hukumu ya mahakama. Pamoja na nia...
  19. Pdidy

    TAKUKURU wakae pamoja na trafiki barabarani

    Ni bora faini ziende serikalini, sio kwa yanayotokea njia ya Goba. Kuanzia Massana Hospital mpaka Mbezi Mwisho ni aibu juu ya aibu. Mabasi yanasimamishwa makonda wanatoa hela wanaweka kwenye makaratasi na kugaia. Shida sio tu kutoa hela. RTO hebu hakiki hili barabarani Ukitokea Masana Hosp...
Back
Top Bottom