askari wanne kufukuzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zanzibar-ASP

    Je, ni kweli hakuna polisi aliyefutwa kazi kwa kufuta picha za kamera, bali wote wamehamishwa?

    Kuna tetesi zimezagaa mkoani Kilimanjaro zikidai kuwa Jeshi la Polisi wilaya ya Mwanga limetoa taarifa isiyo sahihi kuhusu kufukuzwa kazi kwa askari wanne wa barabarani waliohusishwa na tukio la rushwa nono iliyopelekea wao kufuta picha za kwenye kamera ya barabarani ya kurekodi matukio ya...
  2. JanguKamaJangu

    Askari wanne wafukuzwa kazi kwa kufuta picha za kwenye kamera ya mwendokasi

    Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Baada ya uchunguzi kukamilika ilibainika kuwa, askari hao walikuwa...
Back
Top Bottom