Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), hivi leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa linaloendelea nchini.
Dkt Shoo amesema kumekuwa na makosa mengi katika Ucahguzi huu ikiwemo kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani...
Kwa wenye uelewa tulikuelwa vizuri kwamba kanisa linaunga mkono uwekezaji, lakini huku nyuma umesahau kwamba kuna akina kitenge na mwijaku wanaopindisha manaeno, sasa unalishwa maneno kwamba kanisa linaunga mkono mkataba wa bandari jambo amabalo siyo kweli.
Ulisema kuna mapendekezo mlimpa raisi...
Mimi ni muumini wa hili kanisa usharika wa Mbezi Louis, tokea nianze kusali nikiwa sunday school pale ni mwaka wa 18 sasa, katika vitu nlivyogundua ni kwamba haya makanisa hasa Kkkt yanaendeshwa kupitia sadaka za waumini yaani waumini wakisema wasitoe sadaka ndani ya miezi 3 tu hali ya viongozi...