Dar es Salaam/Dodoma. Wakati Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ikihitimisha mjadala wa bajeti yake jana, baadhi ya wataalamu wamemkosoa Askofu Josephat Gwajima kwa msimamo wake kuhusu chanjo ya corona.
Gwajima, ambaye ni mbunge wa Kawe (CCM) alitoa angalizo hilo Mei...