Ni tukio la kusikitisha kule Kagera.
Askofu Bagonza lini atatupandishia maandiko kuntu ya kupinga unyama uliofurutu ada wa kumuua mtoto (MALAIKA) asiye dhambi ,kumkata viungo na kumchuna ngozi?
Lini tutapata maneno ya faraja kutoka kwake ili mioyo yetu itulie?
Hatujamuona akiandika maandiko...
Sio kawaida Na hasa Kwa tukio gumu la kinyama Na kufedhehesha tena likimuhusisha anayetajwa kuwa ni Padre wa Kanisa Katoliki huko MKOANI Kagera.
TAARIFA Mbao zimekuwa nyingi sana Kanisa linawajibika kuweka Sawa hali halisi ilivo.
PIA SOMA
- Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko...