askofu malasusa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Askofu Lema anasimikwa kuwa Askofu wa Dayosisi ya Victoria mashariki Mwanza. Picha za Waziri mkuu Mh Majaliwa zatawala kila kona

    Askofu mteule wa Dayosisi ya Victoria mashariki Dr Oscar Lema anasimikwa rasmi Leo Ibada inaongozwa na Mkuu wa KKKT askofu Dr Malasusa Bango Kuu limewekwa picha kubwa ya Mgeni rasmi Mh Waziri Mkuu Majaliwa Kassim na askofu Lema Ibada iko mubashara Upendo TV 🌹
  2. J

    Askofu Dr Malasusa: Yesu hakutumia nguvu kumshusha Zakayo bali alitumia Neno la Mungu wa Mbinguni na Zakayo akashuka mwenyewe!

    Baba Askofu Dr Malasusa amesema Yesu Kristo hakutumia nguvu kumshusha Zakayo bali alitumia Neno la Mungu wa Mbinguni " Zakayo Leo wokovu umefika nyumbani mwako" Askofu Dr Malasusa amesema hayo wakati akiweka Jiwe la msingi la Ujenzi wa Kanisa la KKKT Kibiti Aidha Askofu Dr Malasusa...
  3. R

    Askofu Malasusa anavuruga KKKT; namwona kama anaingiza dola kwenye kanisa badala ya kuingiza dini

    Nimeona askari wakiwa na mitutu kwenye maeneo ya kanisa la KKKT hapa Mwanza, nimeshtuka sana kwamba watumishi wa umma wametoka na mfumo wa serikali ofisini na sasa wanataka waendeshe na makanisa. Pamoja na kuona dalili hizi na nikikumbuka uchaguzi uliofanyika Arusha kumchagua Malasusa; lakini...
  4. Askofu Malasusa ulianza lini kusononeshwa na watu Kuwindwa kwa Risasi?

    Hili ni swali tu kwako Baba Askofu, kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka, basi bila shaka ama hukuwepo Duniani, au ulifungiwa ndani ya mazabahu. Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa...
  5. P

    Pre GE2025 Askofu Malasusa: Vijana wa siku hizi hawataki Kuongozwa wanataka wawe Huru lakini wamesahau Hakuna Uhuru Usio na Mipaka!

    Akitoa neno katisha sherehe ya kumkaribisha kwenye majukumu yake mapya Askofu Malasusa amesema: "Tuapitia katika nyakati ngumu sana ambazo watu wengi hawapendi kuongozwa, kizazi hiki ni kizazi ambacho watu wengi hawapendwi sana kuongozwa tangu watoto pale nyumbani, katika kaya zetu, watu...
  6. P

    Askofu Malasusa: Suala la ndoa za jinsia moja tuachieni sisi, vitabu vinasema ndoa ni ya mume na mke full stop!

    Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema; "Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa dini kwasababu ni letu, sisi tunajua vitabu vimesema ndoa ni mume na mke full stop. Tunahitaji...
  7. P

    Pre GE2025 Askofu Malasusa: Yeyote anayetamani kuleta machafuko katika nchi tumsihi na kumuombea ashindwe katika Jina la Yesu

    Askofu Malasusa akiwa katika sherehe ya kuingizwa kazini amesema; "Tukio hili la kuingizwa kazini linatokea wakati Dunia inashuhudia vita mbalimbali ikiwa ni pamoja na vita kule Ukraine, sasa tunasikia Gaza na Israel, lakini pia nchi ya Kongo bado napitia katika masikitiko makubwa na mitikisiko...
  8. Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

    Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo. Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea...
  9. Uteuzi wa Askofu Malasusa ni maajabu ya Mungu!

    Uteuzi wa Askofu Malasusa haukuja hivi hivi. Ni maajabu ya mipango ya Mungu. Wengi hawaijui historia ya familia ya Malasusa. Alex Gehaz Malasusa ni mtoto wa pili wa mchungaji mzee Gehaz Malasusa. Mzee Gehaz Malasusa alisomea uchungaji miaka ya mwanzoni ya 1960 hadi huko Marekani, ambako...
  10. R

    Askofu Malasusa kwanini anataka tena Uaskofu Mkuu KKKT?

    Malasusa alishamaliza two terms za uaskofu Mkuu, baada ya mabadiliko ya katiba amegombea tena uaskofu Mkuu; je ana jambo jipya kwa taasisi hii yenye watu zaidi ya milioni nane NCHINI? Endapo atapata, hakuna uwezekano akaikabidhi taasisi hii kwenye dola kama alivyofanya DSM akiwa mjumbe wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…