ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania ( AICT) Musa Masanja Magwesela amejitokeza hadharani kuzungunzumia tukio la Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina kufukuzwa bungeni na Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson kutokana na sakata la utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi...