Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na kushiriki Harambee ya Kanisa hilo.
Sugu amechangia kitita kizito mno baada ya kushinda mnada wa kuku...
Picha: Askofu Mwaikali
Lile kanisa lililo bomoka vipande vipande, dayosisi la konde limeendelea kumuandama Askofu Mwaikali aliyejitenga na kanisa hilo mwaka jana.
Baada ya kuwanyang'anya wafuasi wa mwaikali magari, makanisa sasa ni vita mpya ya kuwanyang'anya kila walichobakiwa nacho warutheli...
Mbeya. Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edward Mwaikali aliyeondolewa katika kanisa hilo, wamesusia ibada kwa kile kinachoendelea juu ya mgogoro katika kanisa hilo.
Hatua hiyo imekuja baada ya...
Kama kuna wakati huyu Baba Askofu anapitia wakati mgumu ni huu sasa.
KAtika mazishi ya Rev Gehaz Maasusa, baba wa Askofu mwenziwe Dk Alex Malasusa, Askofu Mwaikali ilibidi aondolewe hapo msibai kwa hofu ya kutokea fujo.
Naambiwa hapo msibani palikuwa na amani ya hali ya juu, lakini askari na...
Askofu Mengele -katikati na Askofu Mwikali aliyesimama walipoita waandishi wa habari wakijieleza.
Askofu Mengele amefunga safari kwenda Mbeya kumpa tafu Askofu mwenziwe Askofu Mwaikali ambaye ana tuhuma zinazo muweka katika sintofahamu na kondoo wake.
Kitendo cha kupeana tafu kati ya hawa...
Wapendwa sana wana KKKT Dayosisi ya Konde, poleni na mgogoro wa kuhamishwa makao makuu toka Tukuyu kwenda Mbeya Mjini.
Askofu mwaikali katika ngazi za juu amekuwa msaliti tangu akiwa msaidizi wa askofu hadi akahamia iringa hadi mlipomfuata akawe askofu wa Konde.
Nina maswali ambayo mnatakiwa...