Askofu Willybard Lagho wa Kanisa katoliki jimbo la Malindi, Kenya ametoa waraka kwa makasisi wote wanaosimamia parokia za dayosisi hiyo, akiwaagiza wasiwape nafasi za pekee wanasiasa wakati wa misa takatifu.
Kulingana na waraka huo, uliopatikana na BRK, wanasiasa wamekatazwa kuhutubia wafuasi...