askofu

  1. Mbowe na Askofu Bagonza kuongoza mapokezi ya Lema KIA

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe anatarajia kuongoza mapokezi na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Godbless Lema, Machi Mosi mwaka huu, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akiwa na viongozi kadhaa wa dini. Lema aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kuanzia mwaka 2010 hadi...
  2. J

    Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote Askofu Malasusa amemtangazia msamaha Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi Chanzo...
  3. Hali ni mbaya KKKT wanauza magari waliyomnyang'anya Askofu Mwaikali Dayosisi ya konde

  4. Mafuja asimikwa kuwa askofu wa AICT dayosisi ya pwani.

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mafuja-asimikwa-kuwa-askofu-dayosisi-ya-pwani--4103110?s=09
  5. S

    Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

    N.B. Naomba wote mnaotaka kutoa comment kwenye uzi huu mjibu swali la askofu na si vinginevyo
  6. Askofu aiomba Serikali ipunguze gharama matibabu ya Figo

    Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Geita, Flavian Kasala amesema gharama kubwa ya matibabu kwa wagonjwa wa figo imesababisha baadhi ya wagonjwa wanaotibiwa hospitalini kusitisha huduma kwa kushindwa kumudu gharama hivyo kupelekea vifo vya haraka ambavyo vingeweza kuzuilika. Kutokana na hali...
  7. T

    Kwanini Hayati Magufuli aliamua kumlinda Askofu Malasusa kwa nguvu zote?

    Kama mnakumbuka Waumini wa kanisa la KKKT walimkataa Askofu Malasusa kutokana na tuhuma mbalimbali alizokua nazo. Cha ajabu Serikali ya Rais Magufuli ikaamua kumlinda Askofu Malasusa kwa kumpatia ulinzi binafsi na kuhakikisha kwamba kwa lazima anaendesha ibada kinyume na matakwa ya waumini...
  8. Hofu yatanda KKKT Dayosisis ya Mashariki na Pwani, baada ya kumfyeka mchungaji Kimaro, panga la Askofu Malasusa kuwafyeka mchungaji Mbiso na Masai

    Wachungaji wanahaha kwa hofu kuu wakihofia upanga mkali. Kuna taarifa zimesambaa kwamba Askofu Malasusa anaunoa upanga wake kuwamaliza Mbiso na Masai. Mbiso na Masai, kama Dk. Kimaro, pia nyota zao zinawaka kkwa kiasi Cha kumfanya Askofu Malasusa awachukie. Muda wowote na wao watafyekwa.
  9. Tetesi: Wachungaji kumpigia Kura Mch. Dkt. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama kuwa Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani

    Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu, Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa...
  10. Kwenye sakata la Mchungaji Kimaro, nasimama na Kiongozi wangu Askofu Malasusa

    Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu. Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo. Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church. Misingi ya kanisa ilizingatiwa. Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana. The...
  11. Mchungaji Hananja: Wachungaji KKKT wakihoji vitendo vya viongozi kuuza Mali za kanisa, wanafukuzwa, asema na yeye alisimamishwa mwaka mmoja

    Mchungaji Hananja akihojiwa na Bongo5 (ingia YouTube, kaongea nusu saa nzima) ameeleza uonevu mkubwa wanaofanyiwa na viongozi wakuu wa kanisa, na anasema yeye aliandikiwa barua na kiongozi mkuu wa kanisa kumsimamisha kazi bila mshahara kwa mwaka mzima, bila sababu yoyote ile. Hananja anasema...
  12. Askofu kazua balaa ibadani

    Habari ya asubuhi wadau, samahani kwa kuleta uzi asubuh asubuh kama hivi siku ha kazi 😁. Leo nilikua nikiendelea kutafakari tukio moja limejitokeza siku ya jumapili ya juzi tarehe 16 January hukooo kanisani kwetu "Assemblies of God" likaweka sintofahamu kubwa sana kwenye nafsi za sisi wengine...
  13. Je, Askofu Malasusa anamchukia Mchungaji Kimaro?

    Nimeona mahubiri Ya Askofu Malasusa akiwashambulia watumishi wa Mungu ambao kwa madai yake yeye, waanaminiwa sana na waumini wao. Askofu Malasusa anadai wachungaji hao wanaamini sana na watu kuliko Yesu. Mahubiri haya yanayoonesha chuki ya Askofu Malasusa kwa watu kama Kimaro (wengine kama...
  14. Askofu Mwamakula amtaja Gerald Hando shujaa wa maoni 2022

    GERALD HANDO ATAJWA NA ASKOFU KUWA SHUJAA WA UHURU WA MAONI WA 2022. Wamiliki wa vyombo vya habari vya Tanzania na wahariri wamewekwa mfukoni na serikali, wanajikomba na wanajipendekeza kwa serikali. Mtangazaji wa EFM na TVE, Gerald Hando ameadhibiwa na mmiliki wake kwa kauli yake ya kukosoa...
  15. Eritrea: Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki aachiwa kizuizini baada ya miezi miwili

    Askofu Fikremariam Hagos aliwekwa kizuizini Tangu Oktoba 2022 akiwa pamoja na Padri Abba Mihretab Stefanos huku kukiwa hakuna sababu zilizowekwa wazi na mamlaka juu ya kushikiliwa kwao Kanisa hilo limekuwa likisisitiza kumalizika kwa mfumo wa utawala wa chama kimoja Nchini Eritrea na kuminywa...
  16. Askofu Gwajima alitudanganya kuwa amepata Umeme Megawati 250 kutoka Ujerumani kwa ajili ya Tanzania

    Salaam Wakuu, Huyu Baba wetu wa Kiroho nimeanza kumkatia tamaa. Ana ahadi za Uongo. Alidai kanunua vichwa vya treni ya Mwendo kazi kwa Matumizi ya Tanzania, akadai ataleta bodi za Uvuvi na kuwapeleka Vijana wa Jimbo la Kawe Marekani na Japan kubadilishana Uzoefu. Tutachambua moja moja ila leo...
  17. Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Bagonza akiwa amemkumbatia Lissu Kwenye Uwanja wa Kayanga, Karagwe, 2020. Kuhusu sababu mojawapo ya uzushi angalia tofauti kati ya urefu wa kidole cha pili na kidole cha nne, ambapo duara A ni vidole vya Mlinzi wa Lissu vikionyesha kidole cha pili kikiwa kifupi kuliko kidole cha nne na duara B...
  18. Simu ya kinabii iliyopelekea Rais wa nchi kurudisha jengo la kanisa lililoporwa na wasaidizi wake

    Miaka fulani mkuu wa polisi, katibu wa chama tawala na jaji mkuu wa nchi moja kusini mwa jangwa la sahara waliamua kuchukua jengo la kanisa kupitia kesi ya kutengenezwa. Askofu Oyedepo alipoambiwa akasema, "Mungu ni mkubwa na anaweza kujilinda na kujitetea yeye mwenyewe." Akawaambia viongozi wa...
  19. Faru Weupe kupelekwa hifadhi ya Burigi Chato

    Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) imeiteuwa Hifadhi ya Burigi-Chato kuwa miongoni mwa hifadhi mbili nchini zitakazoendeleza kuhifadhi faru weupe ambao ni adimu zaidi nchini. Kupelekwa kwa faru weupe katika hifadhi hiyo ambayo ni ya tano kwa ukubwa kati ya hifadhi 22 zilizopo. Hivyo...
  20. Askofu Kanisa la Anglikana akutwa amekufa baada ya kutoweka siku tatu

    Askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN), Boniphace Kwangu amekutwa amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha. Marehemu alitoweka tangu Novemba 28 na mwili wake kukutwa ukielea katika Ziwa Victoria eneo la Bukumbi Wilayani Misungwi. Akizungumza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…