askofu

  1. R

    Jinsi siasa za 2015-2020 ziliniwezesha kumjua Mungu, Biblia, Qu'ran, Askofu Ngonyani na Othman Mazinge

    Hakuna ubishi kwamba sisi wapenzi wa siasa za Amani, umoja, haki na maendeleo ya watu siasa za Tanzania ktk kipindi kilichotajwa hapo juu zilitutia unyonge sana. Zilitutia unyonge kwa sababu hatukua na mtetezi yeyote wa kututia moyo. Tumaini pekee lilibaki kwa Mungu. Matajiri na maskini wote...
  2. Askofu Niwemugize: Hujafa hujaumbika, leo umeumbuka

    Baba Askofu Severin Niwemugize Mawazo ya waliomo humu Ndani ya Precision air kabla ya uokozi ni mawazo ya kipekee. Hawawazi benki wana shilingi ngapi, hawawazi Simu ya macho 3/iphone 14 pro max, hawawazi majumba ya kifahari na magari aina ya Lexus v8. Hawawazi kula bata George and Dragon...
  3. Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

    Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇 MAONI YANGU Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali...
  4. F

    Askofu wa Katoliki Jimbo la Bukoba atetea uwepo wa kiti cha Rais Kanisani

    Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali. Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo...
  5. Maoni kwa Masanja Mkandamizaji

    Kuna siku baada ya ibada nilikushauri ubadili jina la kanisa maana jina lasasa lina shida na nikakwambia maneno yanaumba ila ukaniambia jina liko sawasawa na huna mpango wa kubadili. Tangu sikuile sikuja wala hatujaonana. Iko hivi, wewe mwenyewe umewaambia waumini wako (pamoja na katibu) kuwa...
  6. Askofu Dkt. Bagonza ataka uchunguzi wahalifu kuuawa na Polisi

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema Ili kuondoa malalamiko yanayotolewa dhidi ya matukio ya uhalifu yaliyosababisha baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa wahalifu kuuawa na askari Polisi, ni vyombo hivyo kukubali...
  7. TANZIA Askofu John Ramadhani afariki dunia

    Habari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia. Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani. Bishop...
  8. Ukame kupandisha tena bei za vyakula nchini

    Wakati mfumuko wa bei ya bidhaa za chakula ukiripotiwa sehemu mbalimbali nchini, hofu ya bei hizo kuendelea kupanda imeibuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza uwezekano wa kuwepo upungufu wa mvua za vuli katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua. Hofu ya bei ya...
  9. Askofu wa Kanisa Angliakana Dayosisi ya Mpwapwa afariki siku 6 baada ya kuwekwa wakfu

    Katika hali ya majonzi na maskitiko askofu mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania Mahimbo Mndolwa ametangaza kifo cha Askofu mpya wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa George Chiteto leo tarehe 3.9.2022 ikiwani nitakribani siku sita tangu askofu huyo alipowekwa wakfu wa kuwa askofu mkuu wa dayosisi...
  10. Askofu Mkuu Katoliki Dar es Salaam amtimua nchini Padri wa Nigeria

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amemwamuru Padri Christopher Fosudo, ambaye ni raia wa Nigeria, kuondoka mara moja jimboni mwake na kurejea nchini kwao. Padri Fosudo alikuwa paroko msaidizi, Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni Dar es...
  11. Askofu Dkt. Mokiwa alalamika kunyimwa Mafao yake Anglikana

    Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa amelalamika kunyimwa stahiki zake baada ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo. Dk Mokiwa alivuliwa uaskofu mkuu Januari 7 mwaka 2017 na aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk Jacob...
  12. L

    Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

    Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya...
  13. Askofu Shoo akaliwa kooni, pia 'Mungu wa Zagamba' asakwa kwa ubakaji

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, leo Agosti 3, 2022
  14. Askofu Ammeus Bandekile Mwamakula dhidi ya Kashfa ya Sensa Mbeya

    KASHFA YA KAZI YA SENSA MBEYA: UMMA UNASUBIRI KAULI YA KAMISHNA WA SENSA, UONGOZI WA JUU WA CCM NA SERIKALI. Mantiki (logic) inatutuma tutoe hitimisho hili: kama Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mbeya Mjini alimuandikia barua Mtendaji wa Kata ya Ruanda kumtaka awape kazi ya Sensa vijana 10 wa CCM...
  15. Askofu: Hakuna Utajiri wa Maombi

    Habari Kamili ya hii taarifa ipo katika Ukurasa wa Tatu ( 3 ) wa Gazeti la MWANANCHI la leo. Wewe haujawahi hata Kushika ( Kumiliki ) Tsh 50,000/= tu 24/7 Unafululiza kwenda Maombini kutaka Mungu akupe Utajiri.
  16. Askofu Gwajima: Madikteta wote walishinda uchaguzi wa kidemokrasia lakini hawakuwa na maono

    Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima, Bungeni leo Juni 21, 2022 "Inapotokea utawala mmoja unamaliza na kuingia utawala mwingine, na kwa sababu mtazamo wa utawala uliopita ni tofauti na unaokuja, inabidi viongozi wengi sana wabadilike kwa sababu inaonekana kwamba maono mapya yanaingia...
  17. Wafuasi wa Askofu Mwaikali wasusa ibada Mbeya

    Mbeya. Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edward Mwaikali aliyeondolewa katika kanisa hilo, wamesusia ibada kwa kile kinachoendelea juu ya mgogoro katika kanisa hilo. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  18. Q

    Askofu Benson Bagonza: Darasa la Loliondo.

    Sakata la Ngorongoro/Loliondo ni darasa maalum kwa tasnia mtambuka. Waweza kuchagua mkondo gani wa darasa uingie kujifunza. 1. Habari/Media. Tulizoea tasnia hii ikirukia kuandika habari hata ikiwa na robo ya ukweli. Kwa kawaida, hawa jamaa kwa kukimbizana na ushindani, huwa wanapakua chakula...
  19. Askofu Bagonza na Askofu Mwaipopo, msaidieni mwenzenu Dkt. Mwaikali kwa kumpa uchungaji Dayosisi zenu

    Kama unafiki wa kidini upo basi kuumbuliwa ni sasa. Dkt Mwaikali aliyekuwa Askofu Dayosisi ya Konde, kibarua kimeota nyasi. Sasa Maaskofu waliokuwa wakimpigia chapuo la nguvu ni Benson Bagonza wa Dayosisi ya Karagwe na Ambele Mwaipopo wa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika Sumbwanga. Hawa Maaskofu...
  20. Aliyevuliwa UASKOFU Kanisa la KKKT, Dkt. Mwaikali akubali kurejesha mali za Kanisa

    Wakati mgogoro ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Dayosisi ya Konde ukifikia kwenye hatua ya kugombea mali, imefahamika kuwa hatimaye upande wa uongozi uliondolewa madakani umekubali kurejesha mali za kanisa hilo. Mgogoro uliibuka baada ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Geofrey...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…