asome nini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moniel

    Ushauri: Ana division four ya 29, akasomee nini?

    Wakuu habarini. Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana, amepata div four 29 Naombeni ushauri anaweza kwenda vyuo vya kati vinavyotoa certificate? Au ni chuo gani kitaendana na ufaulu wake Ana Hist D, kiswah D, Bio D, Chem D, Geo D, Phy F, Engl F, Math F Jinsia ni wakike Ahsanteni
Back
Top Bottom