Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha (AICC) kimeingia kwenye mgogoro mkubwa na wapangaji wake zaidi ya 450 baada ya kuwapatia notisi ya kutakiwa kuhama katika nyumba zao ndani ya siku 60 hadi 90.
Wapangaji hao walioishi ndani ya nyumba hizo zilizoko eneo la Kijenge jijini Arusha kwa zaidi ya...