Salaam ndugu wana JF,
Bila kuwachosha, nataka kuomba kazi ya kufundisha Chuo kikuu kama Assistant Lecturer katika masomo ya sayansi. Kiukweli uzoefu wa teaching, research na consultance kama yalivyo majukumu makuu ya kazi za aina hiyo ninao. Nina CV yangu ila ningependa walau kupata uzoefu kwa...