astaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Washauri wa Mbowe ni wendawazimu? Mbona hawakumshauri astaafu uenyekiti ili kulinda heshima yake?

    Mbowe anasemwa kwa maneno yote, kutoka kuheshimika kwa wasomi na wasio wasomi, sasa anadharaulika mpaka kwa wanafunzi wa primary school huko Si muige hata kwa wachaza mpira? Mchaza mpira ikifika pahala akaona kipaji chake ni kama kimeanza kushuka kwa kutumika miaka mingi, hustaafu kucheza na...
  2. G

    Nimeota, nimwambie Raisi wa liberia asigombeee tena uraisi, Astaafu kwa amani na Moyo wake.

    Ndoto ni ndoto, huwezi kuchagua uote nini na nini uache kama ikimpendeza basi mama aende katika madhabau anayoamini apige magoti ashukuru kwa yote aliyowafanyia wananchi wake, Tukiwa wakweli vijana wengi ajira zilifunguka kiasi chake, Moyo wa mtu kichaka yeye kama mwanamke kajitahidi sana. Yangu...
  3. W

    Ashinda Medali 5 za Dhahabu Olympics kisha Astaafu

    Mwanamieleka wa Cuba, Mijaín López Núñez, amekuwa mwanariadha wa kwanza kushinda medali tano za dhahabu mfululizo katika Michezo ya Olimpiki. Baada ya kushinda kwa pointi 6-0 katika mieleka ya Greco-Roman huko Paris, aliondoa viatu vyake uwanjani kuashiria kustaafu kwake kutoka kwenye mchezo...
  4. Marouane Fellaini astaafu soka

    Kiungo mkongwe, Marouane Fellaini (Mkubwa Fella) amestaafu soka la ushindi akiwa na miaka 36. Fellaini ambaye ni Mbelgiji amewahi kukipiga vilabu kadhaa ikiwemo Everton na Man Utd kabla kutimkia Uchina. Ameshinda FA Cup pamoja na Europa League mwaka 2017 akiwa na Man Utd. Mwaka 2018 alishika...
  5. Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

    Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia. Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19)...
  6. Hatimaye Zlatan Ibrahimovic astaafu kucheza soka

    Ametangaza kuchukua uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 41 baada ya kucheza soka kwa miaka 24 Straika huyo aliyekuwa akiitumikia AC Milan, miezi kadhaa nyuma alinukuliwa akisema hana mpango wa kustaafu licha ya kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara na umri wake kuwa mkubwa Zlatan Ibrahimovic...
  7. Miaka 10 tangu Alex Ferguson astaafu, Man United haijarudi kwenye mstari

    Ni miaka 10 rasmi tangu Sir Alex Ferguson (81) alipotangaza kustaafu kuifundisha Manchester United na kufundisha soka kwa jumla Akiwa klabuni hapo alishinda mataji 13 ya Premier League, 5 (FA Cup), 4 (League Cup / Carabao), 2 Ligi ya Mabingwa, European Cup Winners' Cup, European Super Cup...
  8. Cameroon: Kipa aliyekwaruzana na kocha, astaafu kuichezea timu ya taifa

    Andre Onana (26) aliondolewa kambini wakati timu yake ikishiriki katika Kombe la Dunia 2022 baada ya kutofautiana na kocha wake, Rigobert Song. Kipa huyo wa Inter Milan alianza kutofautiana na Song katika mazoezi kuhusu mbinu za uchezaji, wakarushiana maneno na baadaye kutopangwa katika mchezo...
  9. Karim Benzema astaafu Timu ya Taifa

    Karim Benzema has announced his retirement from international football on his 35th birthday, just a day after France suffered a heartbreaking penalty shootout defeat to Argentina in the World Cup final on Sunday. The 2022 Ballon d'Or winner missed the tournament in Qatar with a thigh injury and...
  10. Dkt. Agnes Kijazi astaafu Ukurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)

    Unapoitaja Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA jina linalokujia kwa haraka ni DK Ages Kijazi Mtaalam wa tasnia ya utabiri wa Hali ya Hewa kwa miongo kadhaa sasa. Licha ya ubobevu wake wa masuala ya Hali ya Hewa, DK Kijazi ambaye pia ni Makamu wa tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani...
  11. Christiano Ronaldo aambiwe ukweli, muda umeshamtupa mkono, astaafu

    Huyu gwiji mkongwe katika mpira ameshachoka sasa. Wakati ni ukuta, anatakiwa kujiongeza na kutunza heshima yake. Wenzake wakifikisha miaka ya pensheni huwa wanakwenda Marekani au Uarabuni kula hela pasipo kamera nyingi na matarajio makubwa ya mashabiki. Hakika mpira wa miguu itaukumbuka uwezo...
  12. Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

    Najua huwa Unanisoma mno hapa JamiiForums kama ilivyo kwa 75% ya Watendaji wako wa Idara Muhimu ya Makao Makuu Oysterbay jirani na Kanisa la Mtakatifu Petro. Mama (Rais) Samia asikudanganye Mtu kwa sasa bado hakuna right Candidate wa Kumrithi CDF General Mabeyo kutokana na tunayoyasikia (chini...
  13. M

    Hivi Watanzania tunasubiri hadi labda Kiungo bora wa Ukabaji Jonas Gerald Mkude astaafu au afe ndiyo tumtunuku Tuzo kwa Kipaji chake Kikubwa?

    Ndani ya miaka 12 na tokea nianze Kumuona akiwa Simba SC B ( aliyokuwa nayo Kocha Matola ) na Kupandishwa Timu ya Wakubwa mwaka 2012 mpaka leo ( 2022 ) bado sijamuona Kiungo Mkabaji wa ama Kushindana nae au hata Kumzidi. Sishangai ndiyo maana wakiwa katika Ndege wakitokea nchini Algeria kucheza...
  14. Bruce Willis astaafu uigizaji

    Nyota wa filamu kutoka nchini Marekani Bruce Willis ameamua kuachana na uigizaji baada ya kubainika kuwa na ugonjwa wa aphasia. Aphasia ni hali inayozuia mtu kuzungumza na kuandika. Mara nyingi ugonjwa huu husababishwa na uharibifu wa upande wa kushoto wa Ubongo. Taarifa za kustaafu kwake...
  15. IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu

    IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
  16. Dkt. Stergomena Tax amaliza muda wake SADC

    Dkt. Stergomena Tax akiwa na mrithi wake Bw. Elias Mpedi Magosi, raia wa Botswana Katibu Mkuu wa nne wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika, Dkt. Stergomena Tax amemaliza muda wake Dkt. Stergomena alichukua nafasi hiyo September 2013 na ameaga rasmi Agosti 2021 Elias Mpedi Magosi...
  17. K

    Kamanda Gilles Muroto Astaafu, karibu uraiani upambane

    Mzee Muroto nakukumbusha muda wa kutoa amri umekwisha rasmi umeingia kupokea amri. Umestaafu ukiwa umejikita zaidi kutetea chama kuliko Jeshi, nikuombe uwasiliane na chama kione wataweka utaratibu gani wakukuwezesha kuwahi kuamka kwenda sehemu kujikeep busy. Nakukumbusha pia kwamba maisha mapya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…