Muonekano wa mwezi ukionekana na mashimo katika maeneo yake mbalimbali hata ukiwa huku duniani pia unaweza ukayashuhudia haya mashimo kama siku mwezi ukionekana wote (Full moon) na anga likiwa limetulia.
Mashimo hayo yamesababishwa na asteroidi na vimondo mbalimbali vilivyoweza kuushambulia...
Basi utakuwa unautazama mwezi wenye muonekano unaofahamika kama Waxing rescent ambao ni muonekano unatokea mara baada ya mwezi kuandama na kuanza safari yake mpya katika zunguka Dunia yetu.
Eneo la mwezi unaloweza kuliona Duniani kwetu ndilo eneo linalopokea mwangaza wa jua au tuseme ndio eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.