astronomykiswahili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Muonekano wa mwezi wetu

    Muonekano wa mwezi ukionekana na mashimo katika maeneo yake mbalimbali hata ukiwa huku duniani pia unaweza ukayashuhudia haya mashimo kama siku mwezi ukionekana wote (Full moon) na anga likiwa limetulia. Mashimo hayo yamesababishwa na asteroidi na vimondo mbalimbali vilivyoweza kuushambulia...
  2. Umeuona mwezi katika siku ya leo baada ya giza kuingia?

    Basi utakuwa unautazama mwezi wenye muonekano unaofahamika kama Waxing rescent ambao ni muonekano unatokea mara baada ya mwezi kuandama na kuanza safari yake mpya katika zunguka Dunia yetu. Eneo la mwezi unaloweza kuliona Duniani kwetu ndilo eneo linalopokea mwangaza wa jua au tuseme ndio eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…