Watoto ni kundi ambalo haliwezi kujitetea pale linapokutana na ukatili wa aina yoyote, mara nyingi hadi watu wazima wagundue unakuta mtoto kashapa madhara aidha ya kimwili au kisaikolojia.
Ni muhimu kutambua kumsaidia mtoto aliyefanyiwa ukatili kisaikolojia ni mchakato unaohitaji tahadhari na...