"Tatizo la umeme la nchi hii ni kufeli kwa uongozi wa nchi, kuna mambo mengi tumewahi kushauri, TANESCO inafanya mambo makubwa matatu ,uzalishaji, usafirishaji na usambazaji huwezi kuwa na kampuni inafanya kazi zote hizo peke yake".
"Asilimia karibia 40 ya umeme wetu unapotea ukiwa...