Wakuu,
Leo nimetoka Mwanza kwenda Nairobi kwa ndege ya Air Tanzania. Ndege hizi zinakera sana.
Kwanza kutoka Mwanza ilichelewa kwa nusu saa. Tukavumilia
Kasheshe imetokea tena usiku huu hapa uwanja wa Mwalimu Nyerere. Fikiria ndege ilipaswa kuondoka saa 2 usiku, wakasema itakawia mpaka saa 4...