TAARIFA KWA UMMA
18 Septemba 2024
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili.
UFAFANUZI WA RAIS WA TAHLISO
Alipoulizwa na JamiiForums.com kuhusu maamuzi...
UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, ametengua Uteuzi wa Richard Rwanyakaato Kiiza, aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Pia Soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Michael Songora Mjinja, Kamishna wa Petroli na Gesi - Wizara ya Nishati.Bw. Mjinja atapangiwa kazi nyingine.
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa...
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Barabara Zanzibar (ZANROADS), Makame Ali Makame pamoja na Kamishna wa Idara ya Bajeti, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Saumu Haji.Utenguzi huo ni kuanzia leo Septemba 12, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 02 Julai, 2023 amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya kama ifuatavyo:
1) Ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mwanahamisi Athumani Munkunda na kumteua Mobhare Holmes Matinyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili, 2023.
IKUMBUKWE KUWA:
Mwanzoni mwa mwaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'alimshtaki' Mkurugenzi huyo kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC).
Aidha, Rais Samia ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), Mhandisi John Nzulule.
Katika hatua nyingine, Mhe. Rais amemuelekeza Katibu Mkuu...
Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama Machinga wamemsifu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utaratibu uliotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuwataka kuanza kutumia mashine za kieletroniki (EFD) katika kufanya malipo.
Sambamba na hilo wamemwomba...
Waziri Mkuu wa Uganda ametengua Uamuzi wa Bunge la Uganda kusitisha Tamasha la Nyege Nyege Uganda, Jinja.
Waziri Mkuu Rabina Nabbaya ameruhusu Tamasha hilo lifanyike -Sababu moja kuu ni kuwa Wageni kutoka nje ya Nchi tayari wameshalipia tiketi zao na hivyo basi Tamasha liendelee.
Wabongo wamo...
Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani, amemteua Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dr. Raphaeli Chegeni.
Pia Soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa viongozi katika Wizara za elimu, Uchumi na Uwekezaji na wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Taarifa iliyotolewa na kusainiwa na Katibu Mkuu Mtendaji, Zena Said leo Februari 3, 2022 imewataja waliotenguliwa ni pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.