athari kwa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ni kwa kiwango gani afya zetu zinahatarishwa na bidhaa za viwandani?

    Katika sekta ya afya kuna mtaalamu Professor Janabi, ambae mara nyingi anaponda ulaji wa misosi ya kawaida lakini hadikiki akikemea dhidi ya bidhaa hafifu ama bidhaa haribifu kwa afya ama kutoa angalizo maridhawa. Je, maji, juice, energy drink na uholela wa uzalishaji je sio hatarishi? Kwenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…