Tatizo la upungufu wa nguvu kazi linazidi kuwa kubwa duniani, na halikuwa tatizo la ghafla bali linatokana na mabadiliko ya kijamii na kisiasa ambayo yamekuwa yakijitokeza kwa muda mrefu. Kwa mfano, Urusi mwaka huu 2024 imeanzisha sera za kutoa motisha kwa wanawake kuzaa watoto, ikiwa ni pamoja...